Seksheni hii inajishughulisha na kutoa utaalamu na huduma mbalimbali zinazohusiana na Mifugo,Kilimo,Uvuvi,Ushirika,Utalii,Misitu, Wanyama pori,Biashara na Viwanda (Uwekezaji) kwenye Sekretarieti ya Mkoa. Seksheni hii inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa.
Majukumu ya seksheni ya Uchumi na Uzalishaji Mali
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.