• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

Historia


Wilaya Ngorongoro ni mojawapo ya Wilaya sita zilizopo katika Mkoa wa Arusha.Wilaya hii ilianzishwa mwaka 1982 chini ya sharia namba 5 ya Mamlaka za Serikali za Mitaa. “The Local Government Instrument 1982”. Sehemu kubwa ya Halmashauri hii ni eneo la Serengeti Ecosystem.

Ukubwa wa eneo la Wilaya ni kilometa za mraba 14,036 ambalo lipo katika nyuzi 30030’ kusini mwa Ikweta na 35042’ Mashariki mwa Greenwich na urefu wa mita 1,009 hadi 3,645 kutoka usawa wa bahari. Ngorongoro inapakana na Nchi jirani ya Kenya kwa upande wa Kaskazini, Wilaya ya Serengeti kwa upande wa Magharibi, Wilaya za Monduli na Longido kwa upande wa Mashariki na Wilaya ya Karatu kwa upande wa Kusini.

Hali ya hewa

Kwa ujumla Wilaya ya Ngorongoro ina maeneo ya joto la washastani hasa katika Tarafa ya Sale na hali ya Kitropikali Wilaya Ngorongoro ina mvua za wastani wa 800mm hadi 1,000mm na upepo Mkali unaovuma kutoka Mashariki kuelekea Magharibi. Maeneo makubwa ya Wilaya ya uoto wa asili jamii ya Akashia hasa ukana wa Kati, Mashariki na Magharibi. Upande wa Mashariki na Magharibi kuna Ukanda wa bonde la Ufa na misitu Mkubwa. Upande wa Kusini mwa Wilaya ni eneo maarufu la Hifadhi ya Ngorongoro linalochukua asilimia 59 ya wilaya ambalo lipo katika Tarafa moja ya Ngorongoro. Eneo hili lipo chini ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA)

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.