Kitengo cha Sheria ni mojawapo ya vitengo vinavyounda Sekretarieti ya Mkoa. Kitengo hiki kimeundwa ili kuisaidi Sekretarieti ya Mkoa katika masuala mbalimbali ya kisheria.
1.1. MAJUKUMU YA KITENGO CHA SHERIA
1.Kutoa ushauri wa kisheria na kuisaidia Sekretarieti ya Mkoa katika kutafsiri sheria,mikataba,makubaliano na nyaraka mbalimbali za kisheria kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa TAMISEMI na Mwanasheria Mkuu wa Serikali
2.Kufanya kazi mbalimbali katika Bodi za Kudumu na Kamati mbalimbali za uchunguzi za muda;
3.Kushiriki katika Majadiliano na Mikutano mbalimbali ambayo inahitaji utaalamu wa Kisheria.
4.Kusaidia katika kutoa tafsiri za Sheria mbalimbali katika Sekretarieti ya Mkoa;5.Kuandaa na kupitia nyaraka mbalimbali za Kisheria kama vile Mikataba, makubaliano, Amri, Taarifa, Vyeti na nyaraka za kuhamisha umiliki;6.Kusaidia katika kusimamia utekelezaji na kutoa mapendekezo sahihi katika mchakato wa kupitia Sheria na Kanuni zihusuzo Mamlaka za Serikali za Mitaa;7.Kufanya kazi nyingine kama zitakavyoelekezwa na Katibu Tawala Mkoa. }
5.Kusaidia katika kusimamia utekelezaji na kutoa mapendekezo sahihi katika mchakato wa kupitia Sheria na Kanuni zihusuzo Mamlaka za Serikali za Mitaa.
6.Kufanya kazi nyingine kama zitakavyoelekezwa na Katibu Tawala Mkoa.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.