Kampuni ya airtel kupitia programu ya 'Shule Smart' imekabidhi vifaa vya mtandao wa intenet 'Router' kwa shule 60 za sekondari mkao wa Arusha, makabidhiano yaliyofanyika kwenye Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha, Agosti 29, 2024.
Akikabidhi vifaa hivyo mwakalishi ya Kampuni ya airtel Harrison amesema kuwa lengo la kampuni hiyo kutoa vifaa hivyo ni kurahisisha tendo la kujifunza na kufundishia kwa walimu na wananfunzi shuleni kwa kupata mada na nukuu za masomo mbalimbali kupitia mfumo wa Tai Library na Direct school.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.