RC MAKONDA AKABIDHIWA RASMI OFISI ARUSHA.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu Chama cha Mapinduzi Tanzania Bara, John V.K Mongella akimkabidhi ofisi rasmi, Mkuu wa Mkoa Arusha Mhe. Paul V.K Makonda, kwenye hafla iliyofanyika kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo, mapema leo Aprili 08, 2024.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.