Waziri Mkuu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akiwasili kwenye ukumbi wa Hotel ya Mount Meru kwa ajili ya kuzindua Tuzo za Uhifadhi na Utalii Deeemba 20,2024Tuzo hizo zitasaidia kuchochea ushindani mzuri kati ya wadau wa sekta ya maliasili na utalii na hatimaye kuwezesha kuboresha utoaji huduma, kuhifadhi mazingira hivyo kuchangia katika kukuza sekta.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.