• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

TUME YA TAIFA YA MIPANGO (NPC) YAKUSANYAJI WA MAONI YA KUTOKA KWA WADAU WA  SEKTA BINAFSI MKOA WA ARUSHA..

Posted on: October 3rd, 2025

Tume ya Taifa ya Mipango (NPC) imekutana na wadau wa sekta binafsi mkoa wa Arusha na kufanya kikao kazi kwa lengo la kukusanya maoni na mapendekezo kuhusu vipaumbele na mikakati ya maendeleo, ikiwa ni maandalizi ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050.


Kikao kazi hicho chenye lengo kuu ni kuhakikisha sekta binafsi inashiriki kikamilifu katika kubainisha maeneo ya kipaumbele, ubia, na mikakati itakayowezesha kufikia malengo ya Dira hiyo kilichofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha mapema leo Oktoba 09,2025.


Aidha, Tume hiyo inalenga kujenga uelewa wa pamoja kati ya Serikali na sekta binafsi juu ya wajibu wa kila upande katika utekelezaji wa Dira 2050, sambamba na kuweka msingi imara wa maandalizi ya mpango mkakati wa ushiriki wa sekta binafsi katika maendeleo ya taifa.


Uratibu wa kikao hiki unatokana na jukumu la kisheria la Tume ya Taifa ya Mipango la kuratibu ushiriki wa sekta binafsi katika maandalizi na utekelezaji wa mipango ya maendeleo nchini. Baada ya uzinduzi rasmi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Tume imeanza mchakato wa kuweka  mikakati ya utekelezaji wake, ambapo ushirikishwaji wa sekta binafsi ni sehemu muhimu katika kuhakikisha Dira hii inatekelezeka kwa ufanisi, uendelevu na tija kwa wananchi.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • JE WAJUA??? HALI YA UPATIKANAJI WA DAWA NA VIFAA TIBA MKOA WA ARUSHA WAFIKIA ASILIMIA 93 ..

    October 09, 2025
  • KARATU DC YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA 2025

    October 06, 2025
  • WANANCHI HIFADHI YA NGORONGORO KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI...

    May 10, 2025
  • TUME YA TAIFA YA MIPANGO (NPC) YAKUSANYAJI WA MAONI YA KUTOKA KWA WADAU WA  SEKTA BINAFSI MKOA WA ARUSHA..

    October 03, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa