Mkoa wa Arusha umepokea fedha kiasi cha sh. bilioni 16.9 kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa UVIKO 19 na miradi mbalimbali ya maendeleo.