• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

AFISA ARDHI MTEULE MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA RUSHA

Posted on: May 28th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda ameliagiza Jeshi la Polisi wilqya ya Arumeru kukamkanata Afisa Ardhi Mteule halmashauri ya Arusha, Shednevenaz Mwakyokola kwa tuhuma za kupokea rushwa ya shilingi milioni 5 siku chache zilizopita mbele ya mamcho yake.


Mhe.Makonda ametoa agizo hilo ambalo tayari  limetekelezwa na Jeshi hilo la Polisi, wakati wa Mkutano wa Hadhara wa kusikiliza kero za wananchi wa halmashauri hiyo, uliofanyika kwenye uwanja wa kanisa Katholiki Ngaramtoni Mei 28, 2024, ikiwa ni wilaya ya nne ya zaira yake ya 'Siku 6 za Moto Arusha' ya kukagua utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika mkoa wa Arusha.


Mhe. Makonda ameeeza namna alivyoshuhudia Mteule huyo akipokea rushwa ya shilingi milioni 5 eneo la Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Arusha, siku ambayo kulikuw ana ugeni wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Hassan Mwinyi Arusha na kuitupa bahasha yenye pesa hizo mara alipogundua Mkuu huyo amemuona.


Hata hivy, Mhe. Makonda ameigaza TAKUKURU wilaya ya Arumeru na Mkoa wa Arusha kuongeza kasi ya kufanya kazi kwa kuwa wilaya ya Arumeru inanuka rushwa na kuwataka viongozi na watendaji wa Serikali kufanya kazi kwa uadilifu kwa kuzingatia maadili ya utumishi wa Umma huku kipaumbele chao kikiwa ni kuwahudumia wannachi na kutatua kero na changamoto zinazowakabili na si vinginevyo


"Sisi watumishi wa Umma tunalipwa mishahara kwa kodi za wananachi, wananchi ndio wametuajiri hawa ndio 'maboss' wetu, tunalojukumu la kuwahudumia, kila mtumishi kwa nafasi yake anapaswa kuwajibika kwa wananchi hawa, tusiwanyanyase" Amesisitiza Mhe. Makonda.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa