• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

ARUSHA MWENYEJI WA MASHINDANO YA MICHEZO JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Posted on: August 14th, 2019

Mkoa wa Arusha kuwa mwenyeji wa mashindano ya michezo kwa shule za Msingi na Sekondari kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki ali maalufu kama FEASSSA.

Akizungumza na waandishi wa habari wa Mkoa wa Arusha,Katibu tawala wa Mkoa wa Arusha Richard Kwitega amesema mashindano hayo yatafanyika kuanzia Agosti 15,2017 hadi Agosti 25,2019.


“Mashindano haya ni fursa kubwa sana kwa Mkoa wetu wa Arusha na nchi kwa ujumla kwani inatupa nafasi yakukuza na kudumisha ushirikiano kwa nchi za Afrika Mashariki”.

Kwitega amesema Mkoa wa Arusha unatarajia kupokea wanamichezo takribani 3500 kutoka katika nchi 6 za Afrika Mashariki na nchi  ya Malawi kushiriki kama mwalikwa.


Aidha, tofauti na wachezaji hao Mkoa utapokea wageni mbalimbali wakiwemo viongozi mbalimbali, Wazazi, Walimu na Waamuzi wapatao 1500 katika mashindano hayo.


Mashindano hayo yanatarajiwa kuzinduliwa rasmi Agosti 16,2019 katika viwanja vya Sheik Amri Abeid na yataendelea kutimua vumbi katika viwanja vingine kama vya shule ya St. Costantine, Viwanja vya International School of Moshi (ISM),viwanja vya Magereza,Tigiti na ukumbi wa michezo wa Palot.


Amesisitiza kuwa michezo itakayo shindanishwa ni mpira wa miguu, mpira wa pete, mpira wa magongo,  mpira wa mikono ,mpira wa kikapu,  riadha, mpira wa wavu,mashindano ya kuogolea,mpira wa  meza, mpira wa kengele utakaowahusisha watu wenye ulemavu.


Kwitega, amewahamasisha wananchi wote kutumia fursa hiyo katika kukuza uchumi kwa nyanja mbalimbali zikiwemo za Utalii,Hoteli na Usafiri kwa maendeleo ya watu na nchi kwa ujumla.


Pia, wananchi wajitokeze zaidi katika viwanja hivyo ili kuweza kuburudika na kushangilia timu za Tanzania kwani ni mara ya pili mashindano hayo yanafanyika hapa nchini tokea mwaka 2014.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa