Wananchi wa Mkoa wa Arusha wakisherehekea na kufurahia Sikukuu ya Krismasi Leo Jumatano Disemba 25, 2024 kwenye maeneo ya mizunguko ya barabara (Round About) za Jijini Arusha.
Bustani za mizunguko hiyo ya barabara imeboreshwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mhe. Paul Christian Makonda kwa kuwekwa wanyama mbalimbali kama sehemu ya kutangaza mazao ya utalii yaliyopo kwenye hifadhi na mbuga mbalimbali za wanyama zilizopo Mkoani Arusha.
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa