• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

BARABARA YA ARUSHA-KISONGO KUJENGWA KWA NJIA NNE

Posted on: July 29th, 2023

Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Missaile Musa amesema kupanuliwa kwa barabara ya Arusha-Kisongo kutasaidia kuongeza usalama katika barabara hiyo.

Bwana Missaile amezungumza hayo alipokuwa akifunga kikao cha usanifu wa barabara hiyo kilichofanyika Jijini Arusha.

Amesema, barabara hiyo ni muhimu kwa   Mkoa wa Arusha kwasababu ni Mkoa wa Kitalii  hivyo ujenzi hui utasaidia kupendezesha muonekano wa mji hususani kwa watalii wanashuka katika kiwanja cha ndege cha Kisongo kuelekea mjini.

Umuhimu mkubwa wa barabara hiyo nikurahisisha ufikaji wa watu katika uwanja wa Ndege  wa Kisongo.

Kwa Upande wake Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Arusha Mhandisi Reginald Massawe amesema wanaenda kujenga barabara itakayoanzia Soko la Kilombero kwenda uwanja wa ndege wa Kisongo kwa njia nne na kipande cha barabara inayoanzia chuo cha ufundi Arusha hadi kona ya Ngarenaro.

Lengo la kujenga barabara hiyo nikupunguza msongamano wa Magari katika barabara hiyo, pia kuhamisha barabara hiyo katika eneo la uwanja wa Kisongo ili kupisha uwanja huo uweze kufanyiwa maboresho zaidi na kuruhusu Ndege ziweze kutua hadi usiku.

Kwasasa katika uwanja huo watalii wanaruhusiwa kutua mwisho saa 12 jioni lakini baada ya maboresho hayo ndege zitaweza kutua hadi usiku.

Katika kikao hicho wameweza kuwashirikisha meneja wengine kutoka katika baadhi ya taasisi za Serikali kwa lengo la  kutoka na mpango wa pamoja.

Amesema mradi huo kwa sasa upo katika hatua ya upembuzi yakinifu na wanatarajia watamaliza mwanzoni mwa mwezi Agasti na hatua hiyo itagharimu Milioni 250 hadi kukamilika kwake.

Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Mhandisi Juma Hamsini amewaomba TANROADS Arusha kuzingatia mpango miji wa Jiji la Arusha ili kuweka uwiano kati  ya barabara hiyo na mpango wa Jiji la Arusha.


Mradi wa kujenga barabara ya Arusha Kisongo yenye urefu wa km 9.1 ni mpango uliowekwa na Serikali kwa lengo la kuboresha miundombinu ya barabara katika Jiji la Arusha.



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa