• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

DC ARUMERU APOKEA MWENGE WA UHURU 2024.

Posted on: July 19th, 2024


Kaim Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Nurdini Babu akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wilaya  ya Arumeru Mhe. Emmanuela Kaganda tayari kwa kuukimbiza kwenye halmashauri mbili za Arusha na Meru kwa kuanza na Halmashauri ya Meru leo Julai 19, 2024.


Ukiwa Wilaya ya Meru, Mwenge wa Uhuru utakimbizwa umbali wa  Km 242.1 na kupitia miradi 19 yenye tamanai Bilioni 17.4 

Aidha katika halmashauri ya Meru Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru utakimbizwa umbali wa KM 95.6 na kukagua miradi 9 yenye thamani ya shillingi Bilioni 8.38.


Ameeleza kuwa, Mwenge wa Uhuru pia utazindua Mradi wa Ujenzi wa Box Kalavati barabara ya Mbuguni wenye thamani ya shilingi milioni 99.4, kuweka Jiwe la Msingi Kituo Cha Malezi ya watoto Cha St. Mary's Children's chenye thamani ya shilingi milioni  950, kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa zahanati ya Kijamii ya DASHIR chenye thamni ya shilingi milioni 800 na kutembelea Utunzaji Mazingira na Utalii wa Nyuki Katika Hifadhi ya Misitu Ziwa Duluti, wenye  thamani yake ni shilingi milioni  1. 6. 


Aidha Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, atatembelea Kikundi cha Vijana Golden Hearts, kinachojishughulisha na Usindikaji wa Asali, wenye thamani ya shilingi milino 12, ataweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Patandi  wenye thamani ya shilingi Bilioni 3.1, kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Shule ya sekondari Madiira Seela Sing'isi mradi wenye thamni ya shilingi milioni 624.2 pamoja na Kutembelea Chuo cha Wenye Ulemavu Usa River.


Hata hivyo atatembelea Miradi iliyowekwa Jiwe la Msingi mwaka  2023 na kutembelea Jengo la Kituo Cha Mafunzo kwa Jamii cha The Foundation for Tommorow (TFFT) Usa River - lenye tahamani ya shilingi Bilioni 2.7.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa