• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

DC NASARI AAGA ARUSHA...

Posted on: March 11th, 2024


Na Elinipa Lupembe 

Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Joshua Nasari, amepata fursa ya kuagana rasmi na viongozi na watumishi wa mkoa wa Arusha, mara baada ya kuhamishwa na Rais Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan kutoka wilaya ya Monduli na kwenda kuwa Mkuu wilaya ya Magu, mkoani Mwanza.


Mhe. Nasari amepata fursa ya kuaga wakati wa hafla fupi ya kumuapisha Mkuu mpya wa wilaya ya Monduli Mhe. Festo Shemu Kiswaga, iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha.


Hata hivyo, Mhe.Nasari amesema kuwa  ameondoka Monduli, huku akijivunia mafanikio makubwa aliyoyaacha wilayani hapo, akilinganisha na hali mbaya aliyoikuta, ikiwepo ongezeko la ukusanyaji wa mapato, utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na utoaji na upatikanaji wa huduma za jamii pamoja na utatuzi wa kero za wananchi.


Aidha, amemshukuru Mheshimiwa Rais kwa kumuamini kuhudumu kwenye Serikali yake ya Awamu ya sita na kuendelea kuwahudumia watanzania hususani wananchi wa wilaya ya Magu na kuahidi kuongeza kasi zaidi ya kufanya kazi.


"Ninamshukuru Dkt.Samia Suluhu Hassan,kwa kuniamini, uhamisho huu umenipa funzo kuwa utumishi wa Umma ni popote, ninaahidi kuendelea kuchapa kazi ikiwa ndio mkakati wa kuwahudumia wananchi na kufikia malengo ya Serikali".Amesema Mhe. Nasari


Awali, Viongozi, Watumishi na Wananchi wote wa mkoa wa Arusha, wamemtakia kila la kheri Mhe.Nassari kwenye kituo chake kipya cha kazi na kumtaka kuendeleza mazuri na mema aliyoyafanya Monduli kwa kufanya kazi kwa bidii ya  kulitumikia Taifa katika wilaya ya Magu kwa maendeleo ya watanzania.


#arushafursalukuki 




                        
                       
                        </div>
                        <!-- /.right-sidebar-content -->
                        <!--/END RIGHT SIDEBAR CONTENTE SECTION-->
                    </div>



<div class=

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa