Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiwasili kwenye Jengo la PAPU mkoani Arusha, tayari kwa kufungua Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati 2024, leo Desemba 04, 2024
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa