Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amewasili kwenye kikao kazi cha tano cha Serikali mtandao, kinachofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC).Dkt. Philip Mpango amepokelewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.