Naibu Waziri Mkuu ja Waziri wa Nishati Mhe.Dkt. Doto Mashaka Biteko Doto Biteko amewasili mkoani Arusha na Kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda kwenye Kiwanja wa Ndege Arusha Desemba 16,2024
Dkt. Biteko yuko mkoani Arusha kwa ajili ya Kufungua Kongamano la 15 la Watalamu wa Ununuzi na Ugavi linalofanyika kwenye kituo cha Mikutano ya Kimataifa Arusha, ukumbi wa Simba Desemba 17,2024
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa