8
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan, akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine, ikiwa ni sehemu ya kukamilisha Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya kifo chake, nyumbani kwake Enguik, Monduli Juu Aprili 12, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu mara baada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine Monduli Mkoani Arusha tarehe 12 Aprili, 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akitoka kuweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine, ikiwa ni sehemu ya kukamilisha Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya kifo chake, nyumbani kwake Enguik, Monduli Juu Aprili 12, 2024.
Waziri Mkuu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa na mkewe mama Mary Majaliwa wakiweka shada la maua kwenye kabuuri la aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine, ikiwa ni sehemu ya kukamilisha Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya kifo chake, nyumbani kwake Enguik, Monduli Juu Aprili 12, 2024.
Makamu Mwenyekiti Chama cha Mapinduzi Taifa, Komredi Abdulrahama Kinana akiweka shala la Maua kwa kaburi la aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine, ikiwa ni sehemu ya kukamilisha Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya kifo chake, nyumbani kwake Enguik, Monduli Juu Aprili 12, 2024.
Rais wa Mstaafu wa Serikali ya awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine, ikiwa ni sehemu ya kukamilisha Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya kifo chake, nyumbani kwake Enguik, Monduli Juu Aprili 12, 2024.
Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya awamu ya tatu Fredrick Sumaye na mkewe mama Sumaye, wakiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine, ikiwa ni sehemu ya kukamilisha Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya kifo chake, nyumbani kwake Enguik, Monduli Juu Aprili 12, 2024.
Matukio mbalimbali katika Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya miaka 40 tangu kutokea kifo cha Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine. Ibada hiyo imefanyika nyumbani kwa Hayati Sokoine Monduli Mkoani Arusha tarehe 12 Aprili, 2024.
#arushafursalukuki
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa