• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

HAKUNA VITUO BANDIA VYA KUANDIKISHA WAPIGA KURA; VITUO 80,812 NI VITUO RASMI

Posted on: October 16th, 2024


Ofisi ya Rais - Tamisemi 



Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu uwepo wa vituo bandia vya kuandikisha wapigakura wa Serikali za Mitaa sio za kweli na taarifa sahihi ni kuwa alifafanua kuwa uandikishaji  unafanyika kwenye vituo 80,812 kutokana na kuwa kuna baadhi ya mitaa au vitongoji vina vituo zaidi ya kimoja.



 Ifahamike kuwa kwa Mujibu wa Tangazo la Serikali Na. 796 na 797 kuhusu orodha ya maeneo yatakayoshiriki uchaguzi yanajumuisha jumla ya mitaa na vitongoji 68,543 lakini vituo vilivyopo ni 80,812 Lengo la kuwa na vituo hivi ni kuhakikisha wananchi wote wanafikiwa ili kupata haki yao ya msingi ya kuchagua na kuchaguliwa.



Hii ina maana vipo vitongoji na mitaa ambayo inakituo zaidi ya kimoja na hii imefanyika miaka yote ya uchaguzi kutokana na wingi wa watu, jiogarafia ya mahali ya eneo husika mfano misitu au wananchi wana shughuli za kiuchumi katika maeneo ya wafugaji, wakulima, wachimbaji migodini au wananchi wanaishi mbali na Kituo cha uandikishaji hivyo kwa pamoja wasimamizi na viongozi wa vyama wanakubalina kuongeza kituo ili kuwafikia wananchi wote. 



Aliongeza kuwa Kutowafikishia wananchi fursa ya kuwa na kituo ni kuwanyima haki yao ya kikatiba. 



Suala la msingi pale inapobainika uhitaji wa kituo cha kuandikisha na kupiga kura, Kanuni zinaelekeza vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi katika eneo husika kukubaliana na kuamua ni wapi kituo kiwekwe ili kuhakikisha wananchama wao na wananchi wengine wote wanapata fursa hii ya kikatiba pasipo na kikwazo. 



Waziri Mchengerwa ameyasema hayo wakati akizungumza na vyombo vya habari Jijini Mwanza leo tarehe 15.10.2024 kufafanua hoja mbalimbali zilizoibuliwa na wadau wa uchaguzi hususan ni kipindi hiki cha uandikishaji.



Pia amewataka wadau wa vyama pamoja na wasimamizi wa uchaguzi/wasimamizi wasaidizi kukubaliana maeneo yote ambayo ni muhimu kukawa na vituo kwa nia ya kuwafikia wananchi wote pasipo na vikwazo.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa