• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

KAMPUNI YA SANKU YATEKELEZA MKAKATI WA UPATIKANAJI WA LISHZ BORA KWA JAMII....

Posted on: April 15th, 2024

KAMPUNI YA SANKU YATEKELEZA MKAKATI WA UPATIKANAJI WA LISHZ BORA KWA JAMII

Serikali kwa kushirikiana na kushirikiana na wadau wa Shirika lisilo la Kiserikali la SANKU, wanatekeleza mkakati wa kuhakikisha upatikanaji wa lishe ya uhakika kwa Watanzania kwa kusambaza mashine maalumu za kusaga nafaka na kuziongezea virutubisho kwenye Mikoa yote nchini.

Kupitia programu hiyo, Shirika hilo limefanikiwa kugawa mashine maalum za kuchanganya virutubisho kwa uwiano unaohitajika kulingana na viwango vya lishe vinavyohitajika kwa matumizi ya binadamu, lengo likiwa ni kupambana na utapiamlo hususani kwa watoto.

Akizungulza wakati wa kufunga mashine hiyo kwenye shule ya msingi Mundarara wilaya ya Longido, Meneja Mwandamizi Kampuni ya SANKU, Gwao Omari Gwao, amesema kuwa, Kampuni hiyo inatekeleza mradi huo kwenye mkoa wa Arusha kwa kufunga mashine hizo kwenye viwanda binafsi na vya Umma, vinavyosindika unga mahindi na kufungusha

"Mshine hizo zinachangaya virutubisho vya madini ya Zinki, Vitamin B 12, asidi ya foliki, na madini ya chuma kwenye nafaka mahindi, kwa uwiano sahihi wakati wa kusaga, ili kupata lishe kamili, kwa kuwa watanzania wengi wanashindwa kupata  mlo kamili wenye virutubishi vyote kutokana na kipato duni" Amefafanua Gwao

Aidha, Gwao ameweka wazi kuwa, katika mkoa wa Arusha SANKU imefanikiwa kufunga mashine hizo kwenye viwanda 20 huku mashine 7 zikifungwa kwenye  shule za msingi na sekondari  katika halmashauri zote 7 za Mkoa wa Arusha.

Hata hivyo, Wananchi wa Mundarara wameishukuru Serikali kupitia SANKU, kwa kutekeleza mkakati huo wa kuboresha lishe kwa afya za wananchi na kuwapelekea mashine ambayo itawasaidia hasa watoto wao kupata lishe bora shuleni na kuahidi kuhamasisha wananchi wote kutambua umuhimu wa lishe bora hususani kwa akina mama wajawazito na watoto.

"Ili kuhakikisha kuwa tunaunga juhudi za Serikali za kuboresha afya za wananchi wake, tutahakikisha tunatoa elimu kwa wananchi wote waelewe umuhimu wa Lishe bora na kuzishawishi shule jirani kutumia mashine hii kwaajili ya chakula cha watoto". Amesema Mhe. Alex Reuben, Diwani wa kata ya Mundarara.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa