• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

KIKAO KAZI RC MAKONDA NA MAAFISA  37 WA JESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA..

Posted on: April 21st, 2024

Na Elinipa Lupembe

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Paul Christian Makonda akiwa kwenye Kikao kazi na Maafisa wa Jeshi la Polisi wa Mkoa wa Arusha, kikao kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Jijiji la Arusha Aprili 20, 2024

Katika kikao Kazi hicho, Mhe. Makonda amelitaka Jeshi la Polisi Mkoani hapo, kuimarisha kitengo cha Intelejensia ili kuzuia na kudhibiti matukio ya uhalifu  kabla hayajatokea madhara na athari kwa Jamii kuwa

wajibu wa msingi wa Jeshi la Polisi, kusimamia ulinzi na usalama wa wageni wa ndani na nje wanaoingia na kutoka mkoani humo

Mhe. Paul Makonda  amewaeleza Maofisa hao wa Polisi kuwa wao ni watu muhimu katika kukuza Utalii mkoani Arusha na kuwataka kuhakikisha wageni na watalii wanakuwa salama kwenye shughuli zao mkoani hapa.

Amewasisitiza kuongeza kasi ya matumizi ya Teknolojia katika utekelezaji wa majukumu yake ili kuongeza ufanisi na kuchochea upatikanaji wa haki na weledi kwa wananchi huku akisistiza kuwa Teknolojia itarahisisha ufanyaji wa tathmini na ufuatiliaji wa matukio yanayofikishwa kwenye jeshi la Polisi.


Kwa upende mwingine Mhe. Makonda ametoa wito kwa wananchi kutoka ushirikiano kwa Jeshi hilo ili liweze  litimiza majukumu yake na kuongeza kuwa ulinzi na usalama wa nchi unaanzia kwa mwananchi mwenyewe hivyo kila mwananchi anatakiwa kuwa mlinzi wake binafsi na mwenzake.


"Matumizi ya teknolojia kwa taasisi za haki jinai  ni miongoni mwa mambo yaliyoelezwa na kutiwa msisitizo na Tume ya haki jinai iliyofanya uchunguzi na kuainisha mapungufu yanayokwamisha utendaji kazi, taasisi zote hizo ni muhimu katika upatikanaji wa Haki".Amesema Mhe. Makonda


Awali, Mkuu huyo wa Mkoa ameweka wazi kuwa, lengo la Kikao hicho ni kufahamiana na kujengeana uelewa wa pamoja kwa kuweka mikakati ya namna bora ya kuimarisha ulinzi na usalama kwenye mkoa wa Arusha na ameahidi kushirikiana na Jeshi hilo la Polisi.

.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa