• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

LYAMONGE ATOA SALAM ZA MKOA WA ARUSHA KWA MAAFISA UNUNUZI NA UGAVI NCHINI...

Posted on: December 12th, 2023

Na Elinipa Lupembe.

Katibu Tawala Msaidizi Utumishi na Rasilimali watu, David Lyamongi, akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K. Mongella kwenye Kongamano la 14 la mwaka la Wataalam wa Ununuzi na Ugavi nchini, kongamano lililofanyika kwenye Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Arusha ( AICC), leo tarehe 12 Desemba, 2023.

Akitoa salama za mkoa wa Arusha, Lyamonge amesema kuwa Wataalam wa Manunuzi na Ugavi ni kiungo muhimu kwa taasisi zote za Serikali, hivyo wanatakiwa kuzingatia kanuni, sheria na taraibu za manunuzi na kuhakikisha kazi zote zinafanyika kidigitali kupitia mfumo wa NEST kama yalivyo maelekezo na matakwa ya Serikali.

"Wataalam wa manunuzi wawe chanchu kwa watumishi wengine katika manunuzi yanayozingatia sheria hasa kuwaelekeza matumizi sahihi ya mfumo wa Nest na kuachana na manunuzi ya nje ya mfumo ya kianalojia, ambayo ni kinyume na taratibu za Serikali" Amesema Lyamongi

Ameongeza kuwa kama yaluvgo malengo ya Kongamano hilo ni kubadilishana uzoefu kuhusu mabadiliko ya Kidigitali, katika kuboresha Usimamizi wa Mnyororo wa Ununuzi Ugavi kwa Maendeleo Endelevu, wahakikishe wanatoka na uelewa wa pamoja, utakaokwenda kuzisaidia Taasisi zao na Serikali kwa ujumla wake.

Aidha,  ametumia fursa hiyo, kuwashukuru Bodi ya Wataalam hao, kuichagua Arusha kufanya mkutano huo muhimu kwa Serikali na kuwakaribisha mkoani Arusha na kuwaahidi ushirikiano huku wakiendelea kufurahia mandhari nzuri ikiambatana na hali ya hewa inayovutia ya mkoa wa Arusha pamoja na kuwahakikishia hali ya amani, utulivu na usalama wao kipindi chote watakapokuwa Arusha.

Awali, Kongamano hilo la siku tatu, limefunguliwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, lenye  lengo la kiwakutanisha pamoja watalaam wa fani hiyo ili kubadilishana uzoefu pamoja na kujadili mada kuhusu mabadiliko ya Kidigitali, katika kuboresha Usimamizi wa Mnyororo wa Ununuzi Ugavi kwa Maendeleo Endelevu.

Kauli Mbiu ya Kongamano la 14 mwaka 2023 ni "Mabadiliko ya kidigitali  katika kuboresha usimamizi  wa mnyororo wa manunuzi na ugavi kwa maendeleo Endelevu"

#arushafursalukuki

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa