Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Makonda, amewaalika wananchi kujitokeza kwa wingi kutembelea kwwnye mabanda ya maonesho na kushuhudia ukuaji wa mnyororo wa thamani katika sekta ya utalii chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Maonesho hayo yatazinduliwa rasmi siku ya kesho tarehe 06 Juni, 2025 na Mheni rasmi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko kwenye viwanja vya Magereza - Kisongo, Halmashauri ya Jiji la Arusha.
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa