Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasilili kwenye Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Arusha na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda, tayari kwa kufungua, Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Samia Suluhu Kwanza kwenye Ukumbi wa Nyasa, leo Disemba 16, 2024
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa