Makamu wa Rais Burundi Mhe. Prosper Banzombaza ameondoka mkoani Arusha, baada ya kumalizika kwa Mkutano wa 24 wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na kusindikizwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Felician Mtahengerwa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Paul Christian Makonda jioni ya leo Desemba 02, 2024
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa