• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MAKONDA AWASILI MKOANI ARUSHA KWA ZIARA YA SIKUMBILI 23 -24 JANUARI, 2024

Posted on: January 24th, 2024


Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa - NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi Taifa Ndugu, Paul Christian Makonda, amewasili mkoani Arusha akitokea mkoa wa Kilimanjaro na kupokelewa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha, Ndugu  Loy Thomas Ole Sabaya, pamoja na viongozi wengine wa Chama na Serikali wa mkoo huo, eneo la King'ori, wilaya ya Arumeru, leo Januari, 23, 2024.


Akiwa mkoani Arusha, Ndugu Makonda atafanya ziara ya siku mbili, pamoja na shughuli nyingine za Kichama, atafanya Mikutano ya hadhara katika wilaya tatu za mkoa wa Arusha.


Siku ya kwanza ya ziara hiyo, atazindua tawi la Wakereketwa la Usa River, na kufanya Mkutano wa hadhara eneo hilo la Usa River katika  wilaya ya Arumeru, na baadaye kukutana na Kamati ya Siasa mkoa na kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Chama mkoa pamoja na kukutana na Wazee waasisi, viongozi wa dini na mila pamoja na wakuu wa Taasisi, mikutano itakayofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano CCM Mkoa wa Arusha.


Aidha atafungua tawi la wakereketwa eneo la Kilombero na baadaye kufanya Mkutano wa hadhara eneo hilo la Kilombero katika wilaya ya Arusha.


Siku ya pili ya ziara yake atafanya mkutano wa hadhara eneo la Makuyuni wilaya ya Monduli.



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa