• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MAONESHO YA KARIBU KILI FAIR 2024 KUCHOCHEA UTALII WA ARUSHA

Posted on: June 5th, 2024

Na Elinipa Lupembe

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amesema kuwa, Maonesho ya Karibu Kili Fair 2024 yaliyopngwa kuanza mkoani humo Juni 7 mwaka huu, yanatarajiwa kuchochea na kusisimua kwa kiasi kikubwa Utalii  huku akiwataka wananchi na Wadau wa Utalii kuchangamkia fursa ya uwepo wa maonesho hayo.

Mhe. Makonda amesema hayo, alipotembelea na kukagua maandalizi ya maonesho hayo yatakayofanyika kwenye viwanja vya Magereza Arusha, mapema leo Juni 5, yanayotarajiwa kufunguliwa na Waziri wa Maliasili na utalii Mhe. Angellah Kairuki.

Aidha, maonesho hayo yanatarajiwa kushirikisha Makampuni ya Kimataifa zaidi ya 700 kutoka takribani Mataifa  50 na yakitarajia kushirikisha Makampuni wenyeji zaidi ya 500 yatakayoonesha bidhaa na kazi mbalimbali kwenye maonesho hayo.

"Niwasihi wadau wa utalii kushiriki kikamilifu kwenye maonesho haya ili kutangaza huduma zenu pamoja na kubadilishana uzoefu na makampuni mengine ya ndani na nje ili kusaidia kukuza utalii Arusha na Tanzania kwa ujumla wake". Amesisitiza Mhe. Makonda

Hata hivyo, ametumia fursa hiyo, kuwakaribisha wananchi na raia wote wa kigeni kwenye maonesho hayo, akiwahakikishia suala la ulinzi na usalama muda wote wa maonesho hayo yatakayofanyika kwa siku tatu mfululizo.

Naye Mkurugenzi wa Kampuni ya Kili Fair, Dominic Shoo, amemuambia Mhe.Makonda kuwa, tayari maandalizi yamekamilika 95% akisisitiza kuwa maonesho ya mwaka huu yameboreshwa zaidi, ikiwemo kuongeza saa za maonesho hayo pamoja na kutenga maeneo maalum kwaajili ya michezo ya watoto.

Maonesho ya Karibu Kili Fair 2024 yanafanyika kwa awamu ya tisa Jijini Arusha likiwa ni jukwaa maalum la kuyaweka pamoja makampuni ya ndani na nje ya nchi yanayohusika na sekta ya Utalii ili kuwakutanisha pamoja na kubadilishana bidhaa, huduma na uzoefu unaotokana na sekta ya Utalii duniani.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa