• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MCL YATOA PIKIPIKI 10 KUIMARISHA USALAMA MKOANI ARUSHA....

Posted on: May 25th, 2024

Kampuni ya Multicable Limited inayojishughulisha na uzalishaji na usambazaji wa bidhaa za Umeme pamoja na masuala ya utalii imekabidhi Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda pikipiki 10 zenye thamani ya shilingi milioni 30, ikiwa ni muednelezo wa juhudi za Mkuu wa mkoa huyo za kuimarisha Ulinzi na usalama Mkoani Arusha kwa lengo la kukuza sekta ya Utalii .

Akizungumza wakati wa kukabidhi pikipiki hizo, Hussein Ali Bhai kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Kampuni ya MCL Ndugu. Murtaza Ali Bhai,  yenye makao yake makuu Jijini Dar Es Salaam ikifanya kazi kwenye majiji yote ya Tanzania bara, kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha, mapema leo Mei 25, 2024, wamesema kuwa, wametoa pikipiki hizo kwa ajili ya jeshi laPolisi ili kuimarisha ulinzi na usalama wa watu na mali zao katika mkoa wa Arusha.

Bw. Hussein Bhai amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa juhudi kubwa za kuendelea kuimarisha suala la ulinzi na usalama katika mkoa huo ambao ni nyenzo kuu ya wafanyabiashara na uimara wa uchumi huku wakiahidi kuendelea kushirikiana na Serikali ya awamu ya sita chini ya Jemadari Dkt.Samia Suluhu Hassani pamoja na seriakli ya mkoa wa Arusha eneo ambalo ni kitovu cha Utalii, sekta ambayo inaliingizia Taifa fedha nyingi za kigeni.

"Sisi Multcable Limited tumekuja kuunga juhudi za Mkuu wa Mkoa wa Arusha katika kampeni yake ya kuufanya Mkoa kuwa sehemu salama.Tumeona utendaji wake katika kulisaidia Jeshi la Polisi kufanya shughuli zake na tunaahidi kuendelea kushirikiana na Ofisi yake." Ameongeza kusema Bw. Hussein.


Kwa upande wake Mhe. Paul Christian Makonda amesema kukamilika kwa ahadi yake hiyo kwa Jeshi la Polisi ya  kuwapatia Jeshi hilo Pikipiki 50 ni muendelezo wa hatua nyingine ya kuwatafutia Pikipiki za Umeme 100 pamoja na magari 20 kwaajili ya kuendelea kuimarisha ulinzi na usalama katika jitihada za kuendelea kukuza na kuimarisha utalii na uwekezaji mkoani hapa.


Mkuu wa Mkoa Mhe. Paul Christian Makonda amesema lengo lake ni kuhakikisha Jeshi la Polisi linafanya kazi kwa ufanisi kwa kuwa na vifaa vya kisasa na vya kutosha vitakavyowawezesha kubaini na kuzuia uhalifu na wahalifu kabla haujatokea

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa