• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MFUMO WA KIELEKRONIKI WA USIMAMIZI WA UTENDAJI KAZI NA TATHMIN YA MAHITAJI YA RASILIMALI WATU WAZINDULIWA RASMI ARUSHA...

Posted on: November 20th, 2023

Mfumo wa Kielektoniki wa Usimamizi wa Utendaji Kazi (PERMIS&PIMIS) na Tathmini ya Mahitaji ya Rasilimali Watu ( HR Assesment) umezinduliwa rasmi katika mkoa wa Arusha kwa wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Taasisi za Serikali zenye makao yake makuu Arusha, kupatiwa mafunzo yaliyofanyika, kwenye ukumbi wa mikutano ofisi ya Mkuu wa mkoa Arusha.


Akifungua mafunzo hayo, Katibu Tawala mkoa wa Arusha, Missaile Albano Musa, amewataka wakurugenzi wote, kusimamia watalamu waliochini yao, katika zoezi zima la ujazaji wa taarifa sahihi zinazohitajikwa kwenye mfumo huo kwa kuzingatia muda uliopangwa kabla ya tarehe 31 Desemba, 2023.


Amebainisha kuwa mfumo huo kwa ilivyoelekezwa na serikali ni muhimu katika utekelzaji wa majukumu ya mtumishi yatakayozingatia kujituma, weledi na uwajibikaji unayoendana  na malengo yaliyowekwa kulingana na cheo, nafasi na taaluma ya mtumishi, kuelekea kufikia lengo la taasisi na serikali kwaujumla.


"Mfumo huu kama tulivyojifunza uko wazi, utakaofanya upimaji bila upendeleo, kila mtumishi atalazika kuwajibika huku mfumo ukimpima na kumfanyia tathmini kazi ambayo ilifanywa kianalojia na kusababisha uzembe na malalamiko kati ya mpimaji na mpimwaji, mfumo huu utaondoa utata huo" Amesema Afisa Tawala huyo


Akiwasilisha malengo ya mifumo hiyo, Mkurugenzi, Idara ya Utumishi, Ofisi ya Rais TAMISEMI,  amesema kuwa, Mfumo huo mpya umekuja kutatua changamoto za mifumo iliyotangulia, ambayo licha ya kuwa mifumo hiyo ilikuwa haisomani lakini ililalamikiwa kuto kutenda haki kwa watumishi kwa kuwa, hakuwezesha upimaji wa wakati na kushindwa kutoa tahmini ya utendaji kazi wa kila siku wa mtumishi, huku ukiacha mbali tahmini ya Taasisi.


"Mifumo hii ni rafiki kwa mtumishi, ikimpa nafasi ya kupimika utendaji kazi wake wa kila siku na kutoa matokeo bila upendeleo ikiwa na vigezo vya upimaji vinavyozingatia majukumu ya kila mtumishi kulingana na cheo na majukumu yake"


Awali, mfumo huo mpya maalumu, kwa ajili ya kufanya tathimini ya hali ya watumishi wa Umma kwa uwazi na kuondokana na changamoto za mifumo iliyotumika hapo awali


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa