• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MIAFUNZO YA NeST YAFUNGWA RASMI

Posted on: August 26th, 2023

Jumla ya washiriki 56 wa Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Manunuzi ya Umma kwa njia ya Kielekroniki (NeST) Mkoa wa Arusha wamehitimu Mafunzo ya siku tano kwa Mafanikio.

Akifunga Mafunzo hayo Katibu Tawala Msaidizi Usimamizi,Ufuatiliaji na Ukaguzi  CPA.Ramadhani Madeleka amesema lengo kuu la Mafunzo hayo likukuwa ni kuwajengea uwezo Maafisa hao toka Halmashauri saba za Mkoa wa Arusha ili kuulewa namna ya kuutumia mfumo huo mpya wa manunuzi ya Umma ujulikanao kama NeST ili wakifika katika maeneo yao ya kazi wakawafundishe Maafisa wengine waliosalia namna ya kuutumia mfumo huu.

"PPRA walitoa Mafunzo kama haya kwa Maafisa toka Sekretariati za Mikoa yote Tanzania Jijini Dodoma kwa lengo la kuwajengea uwelewa wa kuutumia mfumo huu na kisha kuja kuwafundisha mafunzo haya ninyi Maafisa toka ngazi za Halmashauri,hivyo sisi kama Mkoa tunatarajia mtakwenda kuwafundisha mafunzo hayo Maafisa waliobaki katika Halmashauri zetu ili nao waweze kuutumia mfumo huu".

Sambamba na hilo,CPA.Madeleka amezitaka Halmashauri zote za Mkoa wa Arusha kuhakikisha kuwa ifikapo tarehe 15/09/2023 kila Halmashauri iwe imewasilisha taarifa yake ya kuelezea ukamilikaji wa mafunzo ya NeST kwa Maafisa waliosalia ngazi za Halmashauri na namna walivyoanza  kuutumia Mfumo huu kwani ifikapo tarehe 30/09/2023 mfumo zamani hautatumika tena.

Aidha,amewataka Wakurugenzi wote wa Halmashauri kusimamia mfumo huu mpya wa manunuzi kwa kuhakikisha hakuna manunuzi yanayofanyika nje ya mfumo wa NeST kwani kuendelea kufanya manunuzi nje ya mfumo huu ni kosa kisheria na kuwa Halmashauri inatakayobainika kufanya hivyo itachukuliwa hatua za kisheria.

Mafunzo hayo ya siku tano kwa Mkoa wa Arusha yalianza tarehe 21/08/2023 na kufanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na kuhitumishwa tarehe 25/08/2023.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa