• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MKOA WA ARUSHA KUSIMAMIA MATUMIZI YA MFUMO WA UNUNUZI WA KIDIGITALI - NeEST

Posted on: September 12th, 2024


Na Elinipa Lupembe 



Katika kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya sita chini ya Jemadari Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, mkoa wa Arusha umejipanga kusimamia vema utekelezaji wa mchakato wa Ununuzi wa Umma kupitia mfumo wa kidijitali wa NeST.



Hayo yamewekwa wazi na Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mhe. Amir Mohamed Mkalipa,  wakati akimkaribisha mgeni rasmi na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Mchemba kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ili afunge Jukwaa la 16 la Ununuzi wa Umma Nchi wa Jumuia ya Afrika Mashariki, lililofanyika kwa siku 4 mkoani Arusha, kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha - ICC, ukumbi wa Simba, leo Septemba 12, 2024.



Mhe. Mkalipa amemuahidi Waziri wa Fedha kuwa, Uongozi wa Mkoa wa Arusha utasimamia matumizi sahihi ya mfumo wa NeST kwa Mamlaka za Serikali za mitaa, Mashirika ya Umma na Taasisi zote za Serikali mkoani Arusha ili kuongeza tija na ufanisi ikiwa ni mkakati wa kufikia malengo ya Serikali ya matumizi sahihi ya fedha za Umaa kupitia Ununuzi.



"Nitumie fursa hii kuipongeza Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya uongozi mahiri wa Mheshimiwa Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuipa umuhimu sekta ya ununuzi wa Umma, kama mkoa tunaahdi kusimamia vema manunuzi yote ya fedha za Umma kutumia mfumo wa NeST" Amebainisha Mhe. Mkalipa



Amesema kubwa, Taasisi za Serikali zimeshuhudia maboresho makubwa katika michakato ya ununuzi, ambapo matumizi ya mifumo ya kidijitali kama mfumo wa ununuzi  wa NeST, imeanza kusomana na mifumo mingine ya Taasisi za Serikali na kuleta ufanisi mkubwa kwenye mchakato wa Ununuzi wa Umma.



Hata hivyo, kwa niaba ya wananchi wa mkoa huo Mhe. Mkalipa amewapongeza na kuwashukuru waandaaji wa Jukwaa hilo wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Udhibiti Ununuzi wa Umma Denisi Simba kwa kuchagua Arusha kuwa sehemu ya kufanyika mkutano huo mkubwa wa Kitaifa, jambo linaloendelea kuchochea uchumi wa mkoa huo kupitia sekta ya Utalii,hususani Utalii wa Mikutano.



 "Jukwaa hili limeunga mkono juhudi za Uongozi wa mkoa wetu za kukuza shughuli za utalii ikiwamo utalii wa Mikutano, kwa kuzingatia Arusha ni kitovu cha Utalii"


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa