• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MKUTANO WA 77 WA KAMISHENI YA UMOJA WA AFRIKA WA HAKI ZA BINADAMU NA WATU KUFANYIKA MKOANI ARUSHA....

Posted on: October 17th, 2023

Na Prisca Libaga Arusha

Mkutano wa 77 wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu, unatajiwa kufanyika mkoani Arusha kuanzia tarehe 20 Oktoba hadi tarehe 9 Novemba 2023, katika Kituo cha mikutano ya Kimataifa Arusha (AICC) Jijini Arusha.

Akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), Rais na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Kamishna Remy Lungu akiongozana na Makamishna wengine na watendaji, amethibitisha kufanyika mkutano huo huku zaidi ya wajumbe 700 kutoka nchi za Afrika na Nchi wanachama wa Umoja wa nchi za Afrika wanatajiwa kushiriki mkutano huo Jijini Arusha.

Kamishna Lungu amesema mkutano huo utajadili masuala mbalimbali yanayohusu haki za binadamu na watu katika nchi za Afrika kwani bado changamoto nyingi za ukiukwaji wa haki za binadamu katika nchi hizo kwenye maeneo mbalimbali.

"Tumekuja kujadiliana juu ya haki za binadamu na tutoke na maazimio ambayo yatawezesha kila nchi kutekeleza ,siwezi sema sana nchi fulani inafanya vema kuliko nyinginezo katika masuala ya haki za binadamu kwakua kila nchi inamatatizo yake"

Naye Kaimu Katibu Mkuu wa Tume ya Haki za  Binadamu na Watu, Abiola Idowu Ojo alisema  tume ya Afrika imewekwa idadi na utaratibu wa kukuza na kulinda haki kama ilivyoagizwa kufanya chini ya mkataba wa nchi za Afrika ikiwa ni pamoja na kuandaa vikao mara mbili kwa mwaka kwa lengo la  kusikiliza aina mbalimbali kuhusu haki za binadamu na maudhui.

"Tangu kuundwa kwa Tume hii imekuwa na mchango mkubwa katika masuala mbalimbali  ya haki za Binadamu na Watu na imetoa mchango kwa kuimarisha usimamizi wa haki za watoto, wanawake na umiliki wa ardhi, haki  zinazongatiwa na sasa lazima tuanishe changamoto zinazotukanili" Amesema Abiola Ojo

#ArushaFursaLukikuki
#KaziInaendelea









Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa