• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA NDUGU MOGELLA AKABIDHI OFISI NA KUWAAGA WANAARUSHA...

Posted on: April 8th, 2024

NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA NDUGU MOGELLA AKABIDHI OFISI NA KUWAAGA WANAARUSHA

Na Elinipa Lupembe

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Arusha na kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu Chama cha Mapinduzi Tanzania Bara, Ndugu John V.K Mongella, amepata wasaa wa kuagana na wananchi wa Mkoa wa Arusha, muda mfupi baada ya kumkabidhi Ofisi Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda, hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mkoa huo mapema leo Aprili 8, 2024.

Ndugu, Mongella licha ya kuanza kwa kumshukuru Mwenyenzi Mungu, amewashukuru wananchi wote wa Arusha, kwa ushirikiano mkubwa waliompa kwa kipindi cha miaka mitatu, alichotumika kama Mkuu wa Mkoa, na kuwasisitiza viongozi, wadau na wananchi wote, kumpa ushirikiano Mkuu wa Mkoa mpya Mhe. Makonda.

Aidha, Naibu Katibu Mkuu huyo, amekiri kupata ushirikiano mkubwa kutoka kwa viongozi wote wa Mila, Dini, Chama na Serikali ambao kwa pamoja ndio wadau wakubwa wa  Maendeleo ya Mkoa, huku akijivunia kuwa, Mkoa wa Arusha umefanyika baraka katika maisha yake, eneo ambalo alipata uteuzi kwa mara ya kwanza kuwa Mkuu wa Mkoa na hatimaye kwa mara nyingine kuteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara, akiwa Arusha.

"Niwaombe wanaarusha kumpa ushirikiano Mhe. Makonda, ninamuamini kuwa ni kiongozi jasiri na mwenye uzoefu, mwenye kasi ya maendeleo, tuendelee kushikamana kwa mustakabali wa Mkoa wetu wa Arusha na Taifa, Mhe. Makonda ni mchapakazi anayetaka matokeo ya haraka" Amesema Mongella.

Aidha, amekiri kuwa viongozi na wananchi wa Mkoa wa Arusha ni watu mahiri, wazalendo, wenye uchu wa maendeleo, wenye uchungu na Mkoa wao na Taifa lao la Tanzania, ambao walimsukuma kufanya kazi wakati wote.

Hata hivyo, ameweka wazi kuwa, pamoja na kwenda eneo jingine la kazi, yeye ni mdau wa Arusha, mafanikio ya Arusha yatamgusa moja kwa moja, na yuko tayari kutoa ushauri pamoja na kuchangia, maendeleo ya Arusha pale itakapohitajika.

Awali, Ndugu Mongella amemkabidhi rasmi Ofisi Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda, ikiwa ni pamoja na zana za kufanyia kazi ikiwemo taarifa ya Maendeleo ya Mkoa wa Arusha.


#ArushaFursaLukuki

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa