• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

NAIBU WAZIRI MKUU MHE DKT. BITEKO ATOA MAELEKEZO 10 KWA MAAFISA MIPANGO NCHINI...

Posted on: November 27th, 2023

Na Elinipa Lupembe.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko (MB) ametoa Maelekezo 10 kwa Maafisa Mipango Nchini, Wakati akifungua Kongamano la Wanamipango 2023, liliofanyika mkoani Arusha, kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha ( AICC).

1. Washiriki wa wiki ya Mipango tumieni maarifa mtakayopata kwenye mafunzo kufanya maboresho ya utendaji kazi wenu.

2. Pelekeni dhana ya ushirikishwaji kwa wananchi na wadau wote katika Mipango yote ya maendeleo inayowahusu wananchi.

3. Mipango yote inayoandaliwa  izingatie ushirikishwaji wa wadau wengine, wanaohusika katika mipango  na miradi inayotekelezwa ili kujenga uelewa wa pamoja na hatimaye kuondoa upishani wakati wa utekelezaji

4. Wakurugenzi wa Mipango, zingatieni utamaduni wa kuwa na mawazo ya pamoja, katika kupanga Mipango ya Serikali na nchi kwa jumla, ili kuleta mipango imara itakayosaidia taifa letu, katika uchumi unaohitajika.

5. Wanamipango wamepewa jukumu la kusimamimia miradi,  ufuatilia pamoja na tathmini, wazingatie utaratibu wa kutoa taarifa za utekelezaji wa program na miradi ya maendeleo, inayotekelezwa kwenye maeneo yao.

6. Shughuli za tathmini na ufuatiliaji zipewe kipaumbele kwa kutengewa rasilimali za kutosha, Idara ya Mipango zisiwepo tu kwa hisani ya Mkuu wa Taasisi, bali kwa maendeleo ya Taasisi, wananchi na Taifa

7. Maafisa Mipango wabadilike na kufanya tathmini ya miradi ya maendeleo na program zote, zitakazoelekezwa katika maeneo yenu, ikiwa ni pamoja na kwenye Mamlaka za Mikoa,  serikali za mitaa na Taasisi za Umma.

8. Maandalizi ya Dira ya maendeleo ya mwaka 2050, yameanza utekelezaji wake, na kutokana umuhimu wa Dira ya Taifa letu, Wanamipango na wadau wengine wote ni muhimu kila mmoja kushiriki kikamilifu, katika hatua zote za maandalizi kama inavyohitajika.

9. Tume ya Mipango iweke Utaratibu wa kushiriki katika makundi mbalimbali ya wananchi na wadau wengine ili wachangie maoni ya Dira katika maandalizi yake.

10. Wananchi wote washiriki katika kutoa maoni yao kuhusu Tanzania wanayoitaka miaka 25 ijayo.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa