• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

NMB YAKABIDHI VIFAA VYENYE THAMANI YA MILIONI 24

Posted on: February 9th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella ameziagiza halmashauri zote za Mkoa wa Arusha kuhakikisha vifaa  vyote vinaletwa kwenye vituo vya afya vinawekwa katika maeneo husika na vianze kufanya kazi.

Kauli hiyo ameitoa Wilayani Karatu alipokuwa akipokea vifaa mbalimbali kwa ajili ya hospitali ya Wilaya vilivyotolewa na benki ya NMB.

Amesema Serikali ya awamu ya sita pamoja na wadau mbalimbali wanatoa fedha vyingi kwa ajili ya kununua vifaa hivyo, amewataka watumiaji kuvitunza ili viweze kutumika kwa muda mrefu.

"Juhudi hizi za Serikali ni katika hatua ya kuhakikisha wananchi wanatatuliwa kero na inawapa uwezo wakujiletea maendeleo yao wenyewe na nchi kwa ujumla".

Vilevile, aitaka halmshauri na Wilaya ya Karatu kuhakikisha huduma zote zinaanza kutolewa mapema ili thamani ya fedha zilizoletwa zinakuwa na tija.

Akitoa shukrani kwa wadau mbalimbali Mkuu wa Wilaya ya Karatu Dadi Kolimba amesema Serikali imetoa jumla ya fedha bilioni 3.4 kwa ajili ya ujenzi wa hospitali hiyo.

Pia,amewashukuru wananchi waliotoa ardhi kwa ajili ya ujenzi wa hospitali hiyo ya Wilaya.

Amesema Wilaya imejipanga kuhakikisha huduma zote zinatolewa ifikapo Agosti, 2023.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Karatu  Karia Rajabu amesema tayari majengo 7 yameshakamilika katika hospitali hiyo na ameomba wadau wengine waendelee kujitokeza kuchangia vifaa mbalimbali ili huduma inayotolewa iweze kuwa bora zaidi.

Nae,  Afisa Mkuu wateja wakubwa na Serikali kutoka benki ya NMB Alfred Shao amesema, benki hiyo imetoa vifaa  vyenye thamani ya Milioni 24 ikiwa imejumuisha  Vitanda  na Magodoro 20,Mashuka 100, Makabati 20 na Mabenchi 50 kwa ajili ya hospitali hiyo ya Wilaya.

Hospitali ya Wilaya ya Karatu ilianza kujengwa 2021 na kwa sasa imeshaanza kutoa huduma kwa wagonjwa wa nje na hadi kufikia Agosti 2023 itakuwa imeshakamilika na huduma zote zitatolewa.



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa