• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RAS ARUSHA AUTAKA UONGOZI HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA KUJIBU HOJA 10 ZA CAG MWAKA WA FEDHA ULIOPITA

Posted on: June 15th, 2024


Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Missaile  Albano Musa  ameagiza uongozi wa halmashauri ya Jiji la Arusha kujibu  hoja kumi za mwaka wa fedha uliopita  ikiwemo deni la shilingi bilioni 3.55 pamoja na mapato ya halmashauri hiyo shilingi bilioni 2.1 ambayo  hayajakusanywa kwa mwaka wa fedha 2022/23.


Katibu Tawala huyo , amesema hayo katika Mkutano Maalum wa Baraza la Madiwani wa kupitia hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2022/23, ulofanyika kwenye ukumbi wa Mkutano wa halmashauri hiyo mapema leo Juni 15, 2024.


Amesema kuwa, mwaka ujao wa fedha Mkoa wa Arusha utakuwa bega kwa bega kuhakikikisha inafuatilia miradi yote na ukusanyaji wa mapato kwa Jiji la Arusha na kuagiza kuacha tabia ya kumwachia  muweka hazina kujibu hoja peke yake bali kila mhusika ajibu hoja na kuzijua ikiwemo viambatanisho 


Hata hivyo, Mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha, Mhandisi, Juma Hamsini amesema kuwa, halmashauri hiyo  imepata hati isiyo na shaka kwa mwaka wa fedha 2022/23 ikiwemo kutekeleza hoja 23 kati ya 49, ambapo hoja 23 zimetekelezwa na kubaki na  hoja 26 ambazo zipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji.


"Lazima madeni ya nyuma yakusanywe lakini pia tutasimamia ulipaji wa madeni kwa kutumia POS ili kuhakikisha madeni ya nyuma yote yanakusanywa lakini pia tutaboresha mifumo ya ukusanyaji kodi ili kuhakikisha fedha na miradi iliyopangwa inakamilika kwa wakati" amesema.


Naye Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mhe. Felician Mtahengerwa amesisitiza watumishi kupunguza hoja zilizopo na hatimaye Jiji la Arusha kupata hati safi na kutumia fursa hiyo kuwapongeza watumishi wote wa halmashauri hiyo kwa ushirikiano wao unaopelekea Jiji hilo kupata hati safi .


Awali, Diwani  kata ya Sokoni I , Saruni  Olodi ameomba mawakala wa ukusanyaji taka Jiji la Arusha  wanaodaiwa kiasi cha shilingi milioni 14,466,300  kupitia mashine za POS warudishe fedha hizo kwani hadi sasa shilingi 14,466,300 pekee ndio zimelipwa kama deni.

May be an image of 3 people and text

May be an image of 6 people, dais and text

May be an image of 1 person

May be an image of 17 people and people studying

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa