• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RASMI MEI MOSI KITAIFA 2024 KUFANYIKA ARUSHA

Posted on: February 28th, 2024


Na Elinipa Lupembe.


Maadhimisho ya sikukuu ya Wafanyakazi Mei Mosi kitaifa mwaka 2024, yanatarajiwa kufanyika mkoani Arusha huku maandalizi ya awali yakifanyika na tayari vikao vya awali vilivyoikutanisha kamati tendaji vikifanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.


Akizungumza kwenye vikao hivyo, Rais wa TUKTA, Nyamhokya Tumaini, amesema kuwa mkoa wa Arusha umeteuliwa kufanyika sherehe za Wafanyakazi Kitaifa mwaka 2024, huku Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan,akiridhia kuwa mgeni rasmi na wakiamini sherehe hizo kufana na kufanyika kwa mafanikio makubwa, kwa maslahi mapana ya wafanyakazi na Taifa kwa ujumla wake.


Rais huyo, ameeleza umuhimu wa kuadhimisha sherehe za Mei Mosi kuwa, ni pamoja  na kutambua mchango wa wafanyakazi katika jamii, kusherehekea haki za wafanyakazi, mafanikio yao, na kusisitiza umuhimu wa haki na wajibu katika kazi.


Naye Mwenyekiti wa vikao  hivyo na Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K Mongella, ameshukuru kwa kuchagua mkoa huo kupewa dhamana ya kuandaa na kufanyika maadhimisho ya Mei Mosi kitaifa, sherehe ambazo ni muhimu kwa Taifa, kwa kuwa wafanyakazi ndio injini ya kusukuma gurudumu la maendeleo ya Taifa la Tanzani.


Mhe.Mongella amesisistiza kuwa, Serikali inatambua na kuthamini sikukuu hiyo muhimu kwa wafanyakazi kwa kuwa, wafanyakazi ndio msingi wa kuendesha shughuli zote za Serikali na ndio kiwanda kinachozalisha matunda ya maendeleo ya nchi yetu na dunia nzima.


Aidha amechukua nafasi hiyo kuwakaribisha Arusha kwa niaba ya wanaArusha wote na kuahidi  kusimamia vema maandalizi yote mpaka kilele cha siku hiyo kwa kushirikiana bega kwa bega na timu ya maandalizi ili kuhakikisha Maadhimisho mkoa wa Arusha yanakuwa ya kipekee yenye kuleta tija na mafanikio makubwa kwa wafanyakazi na Taifa pia .


Awali, sherehe za Wafanyakazi Mei Mosi huadhimishwa  tarehe 01 Mei kila mwaka na mwaka 2024 zinategemewa kufanyika kitaifa mkoani Arusha



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa