• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MAKONDA AAGIZA AFISA MTENDAJI KATA YA BWAWANI KUKAMATWA NA KUCHUNGUZWA KWA TUHUMA ZA UUZAJI SHAMBA LA KIJIJI.....

Posted on: May 28th, 2024

Na Elinipa Lupembe

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Jseshi la Polisi kumkata na kumchunguza Afisa Mtendaji wa kata ya Bwawani, Simon Kaaya, kwa tuhuma za kulalamikiwa na wananchi kuuza shamba la kijiji na kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi kwenye kata hiyo,

Mhe. Paul Christian Makonda amefikia hatua hiyo leo Mei 28, 2024 wakati akiendelea na ziara yake Wilayani Arumeru ambapo wananchi wa Kata ya Bwawani wamemlalamikia Afisa Mtendaji huyo, akidaiwa kuwa ndiye sababu ya migogoro ya ardhi kwa kuuza ardhi ya Kata hiyo kwa watu mbalimbali.

Hata hivyo, Mhe. Makonda amemuagiza Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Arusha kumfanya uchunguzi wa tuhuma zilizowasilishwa na wananchi dhidi ya  Afisa Mtendaji na kutoa taarifa.

Katika Mkutano huo, Mwananchi wa kijiji cha Bwawani Lucas Samwel amemuelezea Mkuu wa Mkoa kuwa Mtendaji huyo amemsababishia hasara kubwa ya kifedha kutokana na kukopa fedha zaidi ya Milioni sita kwaajili ya kununua shamba alilouziwa na Mtendaji huyo na wakati Mtendaji huyo aliposikia Ujio wa Mkuu wa Mkoa alimuita Bw. Lucas na kutaka kumrejeshea Milioni tatu kati ya milioni sita ikiwa ni miaka miwili baadae.

Mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, imedaiwa kuwa Afisa Mtendaji huyo amekuwa akiwatafuta watu na kuwafanya kuwa wamiliki wa ardhi ya kata na baadae Mtu huyo kuanza kuuza ardhi hiyo ikiwa ni kinyume na sheria na taratibu za ardhi.

Awali, akiwasilisha taarifa ya wilaya hiyo, Mkuu wa wilaya ya Arumeru, Mhe. Emmanuela Kaganda alimueleza Mkuu wa Mkoa kuwa, wilaya ya Arumeru  miongoni mwa Wilaya sita za Mkoa wa Arusha inaongoza kwa migogoro ya ardhi na hivyo kumuomba Mkuu wa Mkoa kutoa usaidizi katika kutokomeza migogoro hiyo ya ardhi iliyodumu kwa miaka mingi.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa