• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MAKONDA AAHIDI KUSIMAMIA KIKAMILIFU UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM NA MAAGIZO YA RAIS SAMIA...

Posted on: June 2nd, 2024

Na Elinipa Lupembe

Akimkaribisha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi Mkoani Arusha leo Juni 2, 2024, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda ameapa kuendelea kuwawajibisha watumishi na watendaji wazembe na wabadhirifu ili kuhakikisha malengo na ilani ya Chama Cha Mapinduzi inatekelezwa kikamilifu.

Mhe. Makonda amesema hayo wakati akiwa wilayani Monduli eneo la Makuyuni na kumuahidi Katibu Mkuu wa CCM kuwa atasimamia maelekezo na maagizo yote ya Chama Cha Mapinduzi katika kutimiza maono na matamanio ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Katika kuwatumia wananchi.

Mhe. Makonda pia amemueleza Katibu Mkuu wa CCM kuwa Mkoa wa Arusha unaendelea kufanya vyema kwenye sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya utalii ambayo ameelekeza nguvu zake huko katika kuikuza na kuipa kipaumbele katika kuhakikisha kuwa anatekeleza maagizo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na kusaidia kupunguza tatizo la ajira kwa vijana wa Arusha.

"Mhe. Nchimbi karibu kwenye Mkoa wa wajanja kuliko mikoa yote duniani, watu wakweli, majasiri na wasioyumba kusimamia haki zao, Mkoa ambao unaongoza kuunganisha si tu kwa Tanzania bali bara zima la Afrika katika utalii. Mkoa wenye wafugaji na wanaojua thamani ya mifugo, Mkoa wa wachimbaji wanaotangaza duniani umuhimu wa Tanzanite." amesema Mhe. Makonda.

Katika hatua nyingine Mhe. Makonda ameitaja changamoto kubwa inayousumbua mkoa wa Arusha kuwa ni migogoro ya ardhi na amekiahidi Chama Cha Mapinduzi CCM kuwa atahakikisha anamaliza migogoro yote ya ardhi katika kipindi chake cha Uongozi akishirikiana na Waziri wa ardhi.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Nchimbi pamoja na wajumbe wengine wa Kamati kuu ya CCM wapo Mkoani Arusha kwa ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM pamoja na kutatua kero za wananchi ambapo Jumatatu ya Juni 3, 2024 wamepangiwa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara kwenye viwanja vya kituo cha mabasi cha Kilombero Jijini hapa. @baba_keagan @ccmtanzania @nchimbie

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa