Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Juni 7, 2025, amehani msiba wa Mzee Silvin Ibengwe Mongella ambaye ni mume wa Mama Getrude Mongella, nyumbani kwa marehemu kijiji cha Kabusungu mkoani Mwanza.
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa