• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

Posted on: March 28th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Ijumaa Machi 28, 2025, amewataka Wanasheria na Mawakili wanaotekeleza kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia Mkoani Arusha kuipatia ofisi yake majina ya watendaji na Viongozi wanaotajwa na wananchi kuwa vyanzo na wachochezi wa migogoro ya kijamii ili ofisi yake iweze kuchukua hatua.



Akikiri kuwa wingi wa migogoro inasababishwa na Viongozi wazembe, wavivu wabadhirifu, wala rushwa, Mhe. Makonda akihutubia wananchi kwenye viwanja vya Ngarenaro, amewataka pia wakurugenzi na wakuu wa wilaya za Mkoa huo kuhakikisha wanasimamia maelekezo na maamuzi yatakayofikiwa kwenye kampeni hiyo ya Kitaifa.



Mhe. Makonda ambaye amekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo, ametoa rai pia kwa wanasheria walio kwenye kampeni hiyo kutenga muda wa kusikiliza wananchi watakaowafikia kwa unyenyekevu na kuzingatia maadili ya taaluma zao katika kutimiza dhamira njema ya muasisi wa kampeni hiyo ambaye pia ni Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.



Akisitiza umuhimu wa haki katika kujenga amani na kuchochea maendeleo ya Taifa, Mhe. Makonda pia ameagiza vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Arusha ikiwemo Jeshi la Polisi na Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU na wakuu wa idara mbalimbali kutoa ushirikiano wa kutosha kwa wanasheria wa Samia,  kwa kuhakikisha wanapata kila kinachohitajika katika kampeni hiyo ikiwemo wahusika mbalimbali watakaohitajika wakati wa usikilizaji wa mashauri ya wananchi.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa