• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MAKONDA ATANGAZA UJIO WA ZIARA YA KATA KWA KATA ARUSHA.....

Posted on: June 4th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda mbele ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi wakati akijibu hoja na kero mbalimbali za wananchi wa Arusha, ametangaza ujio wa ziara ya Kata zote za Mkoa wa Arusha ikiwa ni maelekezo na maagizo ya Chama Cha Mapinduzi.


Mhe. Makonda ametangaza ujio wa Ziara hiyo mapema leo Juni 04, 2024 wakati alipokuwa akijibu baadhi ya hoja na changamoto zilizoibuliwa na wananchi wa Kata ya Usa River wilayani Arumeru, wakati Katibu Mkuu wa CCM alipopita kusalimia na kuzungumza na wananchi wa eneo hilo, wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Kilimanjaro kuendelea na ziara yake ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi na kusikiliza wananchi wenye kero mbalimbali.


Mkuu wa Mkoa amemwambia Katibu Mkuu wa CCM Taifa kuwa moja ya changamoto kubwa aliyopanga kwenda kuitafutia ufumbuzi ni mgogoro wa ardhi unaohusisha vijiji vitatu vya  Maloloni, Kwaugolo na Velenska ambao wamekuwa na mgogoro na ardhi ambayo mwanzoni ilikuwa ikimilikiwa na Chama cha Ushirika kabla ya kutwaliwa na serikali na baadae kurudishwa kwa wananchi waliotakiwa kuendeleza eneo hilo na kujiamulia matumizi yake.


Akijibu baadhi ya changamoto nyingine, Mkuu wa Mkoa wa Arusha amewaambia wakazi wa Usa River kuwa huduma ya Maji katika eneo hilo inashughulikiwa na Mamlaka ya Maji inahakikisha kuwa eneo hilo linakuwa na usambazaji mkubwa wa maji kwani tayari vipo vyanzo kadhaa vya maji vinavyozalisha Maji kupeleka Arusha Mjini.


Aidha Mkuu wa Mkoa pia amemuambia Balozi Dkt. Nchimbi kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Arumeru tayari imeanza mchakato wa ujenzi wa kituo cha mabasi kwenye eneo hilo pamoja na soko la wafanyabiashara kutokana na eneo hilo kukosa huduma hizo kwa muda mrefu hivi sasa.


Mkuu wa Mkoa mwishoni mwa mwezi Mei kwa siku sita, alifanya ziara ya Kikazi kwenye Wilaya zote za Mkoa wa Arusha ambapo kero za wananchi zaidi ya 3000 zilitatuliwa huku wengine wengi wakipata misaada ya kisheria kutoka kwa Chama cha wanasheria wa Tanganyika - TLS pamoja na misaada mingine binafsi ya kifedha, vitendeakazi, Baiskeli za walemavu pamoja na bima za afya kwa watoto.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa