• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MAKONDA AZINDUA MAGARI YA UOKOAJI NA ZIMAMOTO...

Posted on: May 21st, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amelitaka Jeshi la zimamoto na uokoaji Mkoa wa Arusha kushirikiana na Mamlaka ya Maji katika kuvitambua, kuviendeleza na kuvitunza visima maalum vya maji vilivyokusudiwa kutumika na Jeshi hilo kwenye uzimaji wa majanga ya moto.


Mhe. Mkuu wa Mkoa Paul Christian Makonda ametoa maagizo hayo leo Mei 20, 2024 kwenye kituo kikuu cha Zimamoto na uokoaji mkoa wa Arusha wakati wa uzinduzi wa magari mawili (2) mapya ya zimamoto na uokoaji yaliyotolewa na serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan yakigharimu takribani shilingi bilioni mbili za Kitanzania.


Mhe. Makonda amesema amebaini kuwa visima vingi vilivyopo mkoani Arusha vimetelekezwa na kutoendelezwa na hivyo amelitaka Jeshi la zimamoto na Uokoaji kuvihuisha na kuhakikisha vinatambulika na vinakuwa tayari muda wote kwa matumizi yaliyokusudiwa na serikali katika kuhudumia wananchi kwenye uokozi.


Halikadhalika Mhe. Mkuu wa mkoa pia ameitaka Mamlaka ya maji mkoani Arusha kuhakikisha kuwa wanashirikiana na Jeshi hilo la zimamoto na uokoaji katika kuongeza visima vya maji kwenye maeneo ya pembezoni mwa mji ambako hakuna visima hivyo vya kutumika kwenye matukio ya uzimaji wa moto.


Mhe. Mkuu wa mkoa pia ametumia fursa hiyo kuwataka wananchi wa mkoa wa Arusha kuzingatia mipango mizuri ya ujenzi wa nyumba pamoja na kuhakikisha kuwa wanatenga maeneo ya barabara za kuingia kwenye maeneo yao pindi ajali mbalimbali zinapotokea.


Mhe. Mkuu wa mkoa amemshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia magari hayo akisema kuwa hatua hiyo inaendelea kutoa hakikisho la usalama kwa wananchi, wawekezaji na wageni wanaotembelea mkoa wa Arusha.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa