• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MONGELLA AKAGUA UJENZI WA BWENI LAWAVULANA SEKONDARI KITUMBEINE; AAGIZA; WAKUU WA SHULE KUSIMAMIA UTUNZANI WA VIFAA VYA SHULE

Posted on: December 23rd, 2023

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K Mongella, ametembelea na kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Bweni la wavulana shule ya sekondari Kitumbeine kijiji cha Lopolosek wilaya ya Longedo leo tarehe 22 Desemba, 2023.


Mhe. Mongella ameagiza wakuu wa shule, kusimamia utunzaji wa miundo mbinu ya shule ikiwemo majengo, vifaa vya shule, wanagunzi pamoja na walimu.


Ametoa rai hiyo mara baadanya kujionea uharibifu wa majengo ikiwemo kuta kuchafuka na baadhi ya madirisha vioo vyake kuvunjika na kusisitiza kuwa, mkuu wa shule anaowajibu wa kusimamia utunzani wa vifaa vya shule pamoja na kufanya ukarabati mdogo pale unapotokea uharibifu na sio kusubiri serikali kufanya hayo.


"Mwalimu mkuu, ni mkuu wa Taasisi mali na watumishi, endapo atashindwa kusimamia majukumu yake inamaanisha hatoshi, niwaagize wakuu wa shule wote, kusimamia utunzaji wa mali za shule, kazi ya mkuu wa shule ni kusimamia taaluma pamoja na vitendea kazi vyote vinavyosaidia taaluma kusimama imara"


Ameongeza kuwa, yapo  mafungu ya uendeshaji wa shule, ambayo ipo asilimia ya ukarabati na kuwataka walimu kutumia fedha hizo kukarabati uharibifu mdogo mdogo unaojitokeza na sio kuacha mpaka majengo yachakae.


"Serikali inawekeza fedha nyingi kujenga majengo ya shule, ni jukumu la walimu kuwasimamia wanafunzi kuyatunza, hakuna maana ya kujenga baada ya miaka mitatu jengo halifai, Walimu kuweni wazalemdo, tunzeni miundombinu yote ya shule" Amesisitiza Mhe. Mongella


Awali, mradi huo wa bweni la wavulana, shule ya sekondari Kitumbeine umegharimu shilingi milioni 155.4 fedha kutoka Serikali Kuu, kupitia mfuko wa Maendeleo ya Jamii  TASAF, OPEC awamu ya IV.



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa