• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MONGELLA ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMUAGA ASKOFU RUZOKA;  NA KUMTAKIA UTUME MWEMA  KARDINALI RUGAMBWA JIMBO KUU KATOLIKI TABORA...

Posted on: November 19th, 2023

Na Elinipa Lupembe


Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K. Mongella ameshiriki Misa takatifu ya kumuaga Askofu  Mstaafu, Paulo Ruzoka na  kumtakia utume mwema mwandamizi wake, Mhasham Askofu Protase Kadinali Rugambwa wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora, aliyechukua nafasi hiyo.


Akitoa salamu za Serikali kwenye Misa hiyo takatifu, kwa niaba ya Mgeni Rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,  Naibu Waziri Mkuu  na Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dotto Biteko, Serikali itaendelea kupokea maoni ya viongozi wa dini na watanzania wengine ili kuliwezesha Taifa kusonga mbele kwenye nyanja zote za maendeleo.


Amesema kuwa Mhe. Rais anaendelea kumpa shirikiano baba Askofu Rugambwa na

na yuko pamoja naye, huku akitegemea mengi kutoka kwake, ikiwemo maoni na ushauri kwa serikali, pamoja na kuwaelekeza wanaTabora kumtii Mungu na Serikali yao, jambo ambalo litaendeleza amani, utulivu na umoja wa kitaifa.


"Tunaweza kutofautiana kwenye mitazamo na maoni, tunaweza kutoautina kwenye misimamo wa kidini lakini kamwe tusivunje umoja wa kitaifa, tupambane kuwaondoa watanzania kwenyw umasikini na kuwaletea nafuu kubwa ya maisha, wanaohitaji maji, barabara na umeme, tuwapeleke" Amesema Naibu Waziri.


 Hata hivyo Maaskofu hao kwa pamoja Askofu Mstaafu Kazoka na Mhasham Askofu Kardinali Rugambwa,  wamemshukuru Rais Samia kwa ujumbe na ahadi yake ya ushirikiano na kanisa, na kuthibitisha kuwa yapo mengi hushirikiana naye na serikali kwa ujumla wake, kanisa litayaendeleza vema


Katika Misa hiyo, Mkuu wa mkoa Arusha, ameungana na mwenyeji wake, Mkuu wa mkoa wa Tabora, Mhe. Dkt. Batilda Burihan kushiri katika misa hiyo maalumu leo 19.11.2023.




Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa