• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MONGELLA ATEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA NGORONGORO NA KUKAGUA VIFAA TIBA....

Posted on: November 11th, 2023


Na Elinipa Lupembe


Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. John V.K Mongella ametembelea Hospitali ya wilaya Ngorongoro na kukakua maendeleo ya hospitali hiyo pamoja dawa na vifaa tiba vilivyonunuliwa mara baada ya serikali kutoa fedha kiasi cha shilingi milioni 100.


Mhe. Mongella ameendelea kuwasisitiza Wahudumu wa afya kutunza miundombinu iliyojengwa, vifaa tiba pamoja na matumizi sahii ya dawa kwa kuhakikisha wagonjwa wanapata dawa zilizotolewa na Serikali na si vinginevyo.


Amesisitiza kuwa lengo la serikali ni kuhakikisha kila mtanzania anapata huduma bora na sahihi za afya, hivyo dahamana ya kuwahudumia wananchi hao ipo mikononi mwa wahudumu wa afya, wanapaswa kuwatendea haki wagonjwa


"Serikali imetekeleza jukumu lake, kazi ya kutunza vifaa hivi, kutoa huduma bora kwa wagpnjwa ni yenu madaktari na wauguzi, hakuna mtu atakuja kulinda vifaa hivyi, ni kazi yenu, kuweni wazalendo, msaidieni Rais Samia kuwahudumia wananchi wa Ngorongoro,  amejenga hospitali hii ili wananchi wake wasiteseke" Amesisitiza kwa hisia Mhe. Mongella.


Kufuatia mkakati wa serikali ya awamu ya sita ya kila wilaya kuwa na hospitali, mpango huo umetekeleza kwa wiliaya ya Ngorongoro kwa kujeng Hospitali ya wilaya  kwa gharama ya shilingi bilioni 3.4 na kuwekeza vifaa tiba vya shilingi milioni 100.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa