• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

SERIKALI IMEJENGA MADARASA; TUWAPELEKE WATOTO SHULE TUPATE MUDA WA KUZALISHA MALI

Posted on: March 8th, 2024


Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mhe. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, akimbeba mtoto wa mjasiriamali aliyekuwa kwenye Banda  la Wajasiriamali ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya wanawake Duniani, yaliyofanyika kwenye, viwanja vya Ngarenaro, Jijini Arusha na kuwasisitiza kina mama kutumia fursa ya madarasa ya awali yaliyojengwa na serikali,  kuwapeleka watoto shule ili waendelee na shughuli za uzalishaji mali.


Katika kumkwamua Mwenamke na kuhakikisha watoto wote wanakwenda shule, Serikali ya awamu ya sita, imejenga vyumba vya kisasa vya madarasa ya awali, vinavyoruhusu watoto wa kuanzia miaka 4 kuandikishwa, na kuwasisyiza wanawake kuwapeleka watoto wa umri huo shule ili waendelee na kufanya shughuli zao za uzalishaji na kulijenga Taifa lao.


"Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, amejenga shule zenye madarasa ya Awali, zinazoruhusu watoto wa kuanzia miaka 4 kuandikishwa, jambo ambalo linamfanya mwanamke kuendelea kufanya shughuli za uzalishaji mali, huku akiwa amaemuacha mtoto kwenye mazingira na mikono salama ya mwalimu"Amesema Mkuu huyo wa wilaya.


Aidha, amewapongeza wanawake hao kwa kushiriki katika siku hiyo Maalum kwa wanawake wote Duniani, siku ambayo imeleta mwamko mkubwa kwa wanawake kwa kuwafanya kuwa wajasiri, kuungana kwa nguvu moja, kuinuana jambo ambalo limeleta mafanikio makubwa kwa wanawake wengi nchini.


Serikali imeendelea kusimamia sera za kuwakomboa na kuwainua wanawake kijamii na kiuchumi, kwa kuwajengea uwezo pamoja na kuwawezesha kuunda vikundi vya kuweka na kuwekeza na kuanziasha biashara ndogondogo na kupata mikopo isiyokuwa na riba inayotolewa na Mamlakala za Serikali za Mitaa.


Kauli Mbiu ni "Wekeza kwa Mwanawake ili Kuharakisha Maendeleo ya Taifa Pamoja na Ustawi wa Jamii"


#arushafursalukuki




                        
                       
                        </div>
                        <!-- /.right-sidebar-content -->
                        <!--/END RIGHT SIDEBAR CONTENTE SECTION-->
                    </div>



<div class=

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa