• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

SHULE YA SEKONDARI MASUSU NURU MPYA KWA WANAFUNZI WA PINYINYI:- Ngorongoro

Posted on: November 4th, 2023


Joseph K. Edward - Ngorongoro


Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Mhe.Raymond Mwangwala, amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa shule mpya ya sekondari Masusu katika kata ya Pinyinyi na kuridhidhwa na hatua za utekeleaji wa mradi huo na kuwapongeza mafundi na wananchi wa Pinyinyi kwa  kujitoa kutekeleza mradi huo huku akiagiza kukamilika kwa jengo la utawala ndani ya siku tatu.


Aidha ametumia fursa hiyo kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa fedha za kutekeleza na ukamilishwaji wa miradi ya maendeleo katika Wilaya hiyo huku mradi wa shule  ya Masusu sekondari ukiwa ni nuru kwa watoto wa Panyinyi.


"Mhe. Rais ameendelea kutoa fedha nyingi za kutekeleza miradi ya maendeleo kisekta mirafi ambayo inalenga kutatua changamoto nyingi za wananchi wa Ngorongoro, ni jukumu letu kusimamia miradi na kuhakikisha miradi yote inaleta matokeo yaliyokusudiwa na serikali" Amesema Mhe. Mangwala


Naye mwenyekiti wa kitongoji cha Masusu, Mhe. Daniel Taiko Mollel ameishukuru serikali ya awamu ya sita, kwa ujezni wa shule mpya ndani ya kitongoji chake, shule ambayo licha ya watoto kusoma karibu na nyumbani itaondoa changamoto ya watoto kuacha shule kutokana na ndoa za utotoni.


 "Sisi wananchi wa Masusu, tunajisikia furaha kwa kujengewa shule ya sekondari, hatukuwahi kuwa na shule kijijini kwetu, tunajivunia kuwa na Rais mama yetu Dkt. Samia Suluhu Hassan, tunamshukuru sana kwa kutukumbuka" Amebainisha


Kiongozi wa mila, Laigwan Joshua Mang'atinda hakusita kutoa pongezi kwa Serikali ya awamu ya sita kwa kujenga shule ya sekondari Masusu na kumshukuru mkuu wa Wilaya na watalamu wake  kwa usimamizi wa karibu na kuhakikisha mradi unakamilika kwa kuzingatia vigezo vya ubora.


" Watoto wetu walilazimika kutembea umbali wa Km 10 mpaka 15 kufuata shule kata za jirani,  mradi huu ni mkombozi wa watoto wetu, tuko tayari kufanya kazi usiku na mchana ili shule hii ikamilike haraka na watoto wetu waanze kusoma mapema Januari 2024" alihitimisha Lagwanan.


Sevelin Erasto mwalimu wa Sale sekondari na msimamizi wa mradi amesema kuwa mradi huo unatekelezwa kwa fedha za Serikali kupitia mradi wa Kuboresha miundombinu ya shule za Sekondari Nchini (SEQUIP)


Ikumbukwe kuwa miradi yote ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali ya awamu ya sita ni utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinduzi ya mwaka 2020.

"CCM inaamini kuwa elimu bora ndiyo nyenzo muhimu ya kujenga, kulea,  na kuendeleza rasilimaliwatu ili kuchangia kikamilifu ujenzi wa Taifa na maendeleo ya jamii kwa ujumla". bara ya 77.


#mamayukokazini

#kaziinaendelea.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa