• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

SPIKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR AFUNGUA MAONESHO YA NANENANE

Posted on: August 3rd, 2023

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar  Mhe. Zubeir  Maulid amesema kuna umuhimu wa kuhakikisha wanawake na vijana wanaandaliwa kuchangamkia fursa zilizopo kwenye sekta ya Kilimo, Uvuvi na Mifugo.

Kauli hiyo ameisema alipokuwa akifungua maonesho ya nanenane na sherehe za Wakulima na Wafugaji Kanda ya Kaskazini.

Amesema sekta  ya Kilimo, Uvuvi na Ufugaji imekuwa na mchango mkubwa katika nchi.

Amesisitiza kuwa maonesho ya nanenane yatumike kuhakikisha teknolojia za Kilimo, Uvuvi na Ufugaji zinawafikia wananchi.

Lengo la maonesho ni kuongeza mnyororo wa thamani ili kuongeza zaidi fursa za upatikanaji wa chakula na kujenga uchumi wa mtu mmoja.

Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amesema zaidi ya  asilimia 60 ya watanzania wapo kwenye sekta ya kilimo na uvuvi hivyo huchochea maendeleo.

Amesema maonesho hayo yamezidi kuimarika kila mwaka kwa kuleta tija kwa wananchi kwani wanapata elimu tofautitofauti kila mara.

Pia, maonesha haya yanaendelea kuleta chachu ya mabadilika katika sekta ya Kilimo,Uvuvi na Ufugaji.

Nae, Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga akizungumza kwaniaba ya wakuu wa Mikoa ya Manyara na Kilimanjaro amesema lengo la maonesho hayo nikutoa elimu kwa njia ya kuona na kubadilishana uzoefu kwa mikao hiyo 3.

Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya nanenane ambae pia ni Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Missaile Musa amesema maandalizi yalianza mwezi Aprili kwa kuandaa vitaru katika maeneno tofautitofauti.

Maonesho ya nanenane Kanda ya Kaskazini yamefunguliwa rasmi Agosti  3 yakiwa yamebeba kauli mbiu isemayo "Vijana na Wanawake ni msingi imara wa mifumo ya chakula", na yanatarajiwa kufungwa Agosti 8.









Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa