• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

SRAEL QIMA KATIBU CHADEMA TAWI: WAPINZANI TUNAHITAJI MAENDELEO; SIASA SIO UADUI...

Posted on: December 1st, 2023

Na Elinipa Lupembe


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John V.K Mongella, akisalimiana na Katibu wa Tawi la CHADEMA, Israel Qima, Kijiji cha Gongali Kata ya Qutus, wakati alipotembelea mradi wa kitovu cha Teknolojia za Kihandisi (KITEKI), Wilaya ya Karatu leo tarehe 01 Desemba, 2023.


Katika ziara hiyo, Mhe. Mongella alitoa fursa kwa wananchi wa kijiji hicho kutoa kero zao, ambazo waliainisha miongoni mwa kero kubwa ni ubovu wa  barabara kutoka njia ya Mbulu - Tanki la kwa Basoro mpaka mwisho wa kijiji cha Gongali pamoja na mgogoro wa zahanati.


Mwenyekiti wa Kijiji cha Gongali, Mhe. Joseph Baha, ameishukuru serikali kwa kujenga kituo hicho cha zana za kilimo, kituo ambacho licha ya kurahisisha upatikanaji wa zana hizo za kilimo, kitaongeza hamasa kwa wakulima na wafugaji na kungeza kasi ya uzalishaji wa mazao ya chakula na malighafi.


Mwenyekiti Baha, amesema kuwa licha ya mafanikio makubwa ya Serikali ya awamu ya sita, bado kijiji chao kinakabiliwa na changamoto ya ubovu wa barabara inayoingia kwenye kijiji chao na mgogoro wa Zahanati ya kijiji kuwa katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi.


Aidha, Mhe. Mongella ameuagiza uongozi wa TARURA kutengeza barabara hiyo na kukamilika kabla ya tarehe  31 Desemba, 2023, pamoja na kuahidi kushughulikia mgogoro wa zahanati ya kijiji iliyojengwa kwenye ofisi ya CCM.


Naye, Mwenyekiti wa CHADEMA tawi la Gongali, Israel Quima, ameipongeza Serikali ya awamu ya sita, inayoongozwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi kubwa za kuleta maendeleo katika kijiji cha Gongali na amemuhakikishia Mhe. Mongella kuwa kwa  sasa watanzania wanahitaji maendeleo na sio malumbano yanayotokana na itikadi za kisiasa.


"Mimi kama, Kiongozi wa CHADEMA, hatupingi maendeleo, maendeleo hayana chama, kama hakuna maendeleo tunapinga, na  kama maendeleo yanakuja kijijini kwetu, hatuhitaji kuipinga serikali" Amesisitiza Quima


PICHA ZA MKUTANO


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa